Ndani Ya Bongo !
Anaitwa TID au unaweza Top in Dar kama ukipenda ! bado anaendelea kutesa na kibao Zeze !! embu msikie akilezea kuhusu
Huwezi kuamini, lakini ndivyo ilivyotokea ni Afande Sele, ambaye usiku wa April 3 katika ukumbi wa Diamond Jubilee aliwaburuza vilivyo wasanii wenzake wakali na wale wanaoheshimika katika muziki wa kizazi kipya katika shindano la Mkali wa Rhymes.Tangu aingie mwanzo msanii huyo alionekana kuwa na dalala za kuchukua 'mchuma' huo aina ya Resa kwani baada ya mamia waliojazana kwenye ukumbi huo walinyanyuka na kumshangilia vilivyo tofauti na wasanii wengine waliokuwa wakiingia. Afande alionekana kupagawa kutokana na mapokezo aliyopewa na mashabiki wake na kwa kuwa alishindwa......
Gonga kujua zaidi
Kamata Lyrics Za Kibongo
Nenda Sambamba na Wasani
Kama lyrics zao hapa
Mtaa FM - Live East African Radio !!
Radio Free Africa........................ Get The Daily Update!
Listen Live Now ....Bongo Flava Mzibo.net






